22.11.13

Monday, June 03, 2013

(Photo's) WATANZANIA AFRIKA KUSINI WAUAGA MWILI WA NGWEA

 Ikiwa yamebaki masaa kadhaa mwili wa marehemu kuwasili jijini dar Tanzania kutokea afrika kusini ambapo mauti yalimfika msanii maarufu nchini Albert Mangwea,watanzania waishio Afrika kusini wamepata nafasi ya kuuwga mwili hii leo jioni.
Mwili wa msanii huyo unatarajiwa kufika kesho tayaro kwaajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyikia Morogoro. Kesho mwili huo utakapofika watanzania watapata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho na kuuaga katika viwanja vya Leaders club Kinondoni Jijini Dar es salaam

http://deejaydeo.blogspot.com

No comments: