22.11.13

Saturday, June 15, 2013

(Photo's) Yaliyojiri jana kwenye show ya miaka 13 ya LADY JAYDEE @ Nyumbani Lounge

Wakazi kwa steji akiwarusha mashabiki wake vilivyo 

Grace Matata kwa steji 

Mwanadada Jide akiwa ameweka style ya Anaconda, ulipenda kweli kweli dada yangu

 Ikafika muda wa mbunge kutoka Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aka Mr II

 Hapa akiwa na Mkoloni kwa steji

Dullah Mjukuu wa Ambua kutoka East Africa Radio aliwakilisha vilivyo,

Mzee wetu Hamza Kalala akimtambulisha mke wake

Dada akarudi tena kwa ungwe ya mwisho na akiwa kwenye mavazi mengine, 

Wakikumbatiana na Prof Jay baada yakuimba wimbo wa Joto hasira

King KIBOYA kwaito aka Kiganja cha Sokwe akichukua matukio

Waandishi wa habari mbalimbali wakichukua matukio 

Hii ni meza ambayo walikaa familia ya Lady JayDee na aliyekaa wapili kutoka kulia ni Mama mzazi wa Lady JayDee

Mchizi Mox na M 2 da P

Juma Nature na Nikki Mbishi

11 comments:

MATTHEW SHAKITONKA said...

MDADA YUPO MZUKA ZAIDI YA MWANAFA. . . . . . #.Sema wananiudhi Clouds kuwa kama mashabiki.

Nahid Osam said...

Ilaaaaa FA na clouds Media walichofanya.co ishu ht hvy show ilifunikaaaaa kushinda yaoooooo

Nahid Osam said...

CLOUDS MEDIA NA FA LENGO LENU HALIKUFANIKIWA NA NYIE NDIO MNAO MNAO RUDISHA SANAA YA MZIKI NYUMAAA KWA ROJO ZENU ZA PAKAAAAA.ANACONDA WEEEE WAPAKEEE TUUUU UNA MIAKA 100 MBELEEEE

Nahid Osam said...

Ilaaaaa FA na clouds Media walichofanya.co ishu ht hvy show ilifunikaaaaa kushinda yaoooooo

Anonymous said...

Umetisha mdada jd achana na mawingu fm,,,,ck zao zinahesabika,,,,,,hao ni wasaliti km petro

Anonymous said...

Kama kijini,malaya mzoefu huyo.ruge katomba sana ndo kaampa promo,leo kabagwa ndo anajiita anaconda.

Anonymous said...

Malaya mwenyewe umetumwa na hao wajnga na malaya wenzio. Jde usiwaogope hao matahira cz mwisho wao umefka. Anaconda 4 life.

Anonymous said...

We co bure umetumwa,weka sura lako bac tulione mxiiiiiuuuuuuuu

Anonymous said...

hahahahahahahaha!!!

Anonymous said...

wewe unayesema JD katembea na Ruge hilo ni nje ya mjadala. Suala ni je JD amekamilisha azama yake? aache ujinga na kasome kabla ya kuaandika ujinga wako, mburula wewe, Go JD all the way!!!!!

Anonymous said...

Mmmmmmhhh yatakushinda nahic unatafuta umaarufu,,,,,,,,,,,,,,,!!!!!!!lako joto hupati baridi maisha yk