22.11.13

Saturday, July 27, 2013

(Audio) Janjaro - Serebuka

Chukua time yako kulisikiliza Dundo jipya la Dogo Janjaro akiwa amewatupia Jambo Squad, Production imesimamiwa na Dx kutoka Noizmekah

5 comments:

Anonymous said...

safi sana dogo

Unknown said...

@djchoka vp sasa umeweka link inanipeleka kwa perfecttz.com ambapo hamna link ya kwenda hulkshare niidownload sasa sijui umefanyajee sasaaa

ANDARSON said...

I cnt download ths track...!! Why DJ choka?

Unknown said...

We mkali janja big up xna!

Unknown said...

We mkali janja big up xna!