Baada ya kutoa wazi mapema mwaka huu,nimekua inspired sana kufanya ngoma
za namna hii,kuna talent kubwa sana ambayo haifahamiki kwenye industry
na binafsi nina mambo mengi ambayo naona yanafumbiwa macho na hii inakua
kama platform ya wasanii mbalimbali kukutana,kuexchange ideas na
kuongea yale wanayoyaona kwenye jamii,nashukuru sana media zote, sites
na blogs kwa support kubwa wanayoitoa kwaajili ya muziki
mzuri,nauchukulia huu kama mwanzo mpya na wito kwa wasanii kuona mbali
zaidi ya industry ilipofikia sasa.
No comments:
Post a Comment