22.11.13

Wednesday, July 24, 2013

(Audio) Man Tuzo - Mwambie atulie

Ngoma mpya ya Man tuzzo msanii toka Mtwara ambae ameamua kuleta mapinduzi kwenye wa bongo fleva Man tuzo ni kijana mwenye uwezo wa kipekee kabisaa kwenye tasnia ya music ukiwa kama mdau Support yako inahitajika sana chukua time yako kusikiliza kazi yake atakubaliana nami kuhusu uwezo wake, kwa interview au show wasiliana nae kwa phone namba
0718387925 Au 0682457001

Song; Mwambie atulie
Artst: Man Tuzzo
Studio: Island Records Zanzibar
Producer: Raza'k & Lab One

No comments: