22.11.13

Thursday, July 25, 2013

(Audio) Warriors from the East - Bongo Reggae

Washindi wa Tuzo za Wimbo bora wa reggae katika Kilimanjaro Music Awards, Warriors from the East wanakuja na nyimbo mpya kabisa "Bongo Reggae" ikiwa ni single ya kwanza kabisa itakayopatikana katika album ya "Bongo Reggae"

No comments: