22.11.13

Thursday, July 11, 2013

HABARI ZILIZOTUFIKIA: Mama mzazi wa PROF JAY afariki dunia kwaajali ya gari

Ilikuwa majira ya saa 1 usiku ndipo tulipopata habari ya ajali ya mama maeneo ya Mbezi mwisho akitokea nyumbani kwa Prof Jay anapoishi nae akielekea dukani. Wakati anarudi nyumbani akivuka barabara ndipo ajali hiyo ikampata na kuhaishwa hosp ya Tumbi hadi mauti kumkuta. Mungu ailaze roho ya marehemu Amen

No comments: