22.11.13

Thursday, July 11, 2013

(Photo's) Yanayoendela kwa hivi sasa kwenye msiba wa mama yake PROF JAY

Picha ya juu ni gari ambalo mama yetu aligongwa nalo likiwa kituo cha police cha Mbezi mwisho
 Baba mzazi wa Prof Jay mzee Haule akiwasili nyimbani kwa Prof Jay tayari kwa kuandaa taratizo za mazishi


10 comments:

jackie said...

Pole jay mipango ya mungu apumzike kwa amani kipenzi chetu mama jay

Anonymous said...

Pole baba

Nahid Osam said...

Poleeeee cnaaaa

Anonymous said...

Hiyo ni mipango ya Mungu. Pole sana prof.

Anonymous said...

Pole jay,,,,,,jina la bwana lihimidiwe daima

Anonymous said...

Inalilah waina ilah rajiun

Anonymous said...

My condolences

Anonymous said...

mbele yetu mama sis nyuma pole xana broo.

Anonymous said...

BWANA ametoa,BWANA ametwaa.
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Amein.

MTOTO WA VITOTO EIDOO said...

So sad,