22.11.13

Wednesday, July 24, 2013

(News) DUDUBAYA: Wimbo wangu mpya "JESUS POWER" unatoka kesho

Dudubaya ameongea na DJCHOKAblog na kutupa habari ya kuwa anarudi kivingine tena na wimbo mpya ambao anautarajia kuutoa kesho alioupa jina la JESUS POWER. Dudubaya anasema wimbo umetengenezewa pale Kariakoo katika studio ya Fish Crab kwa prod Lamar. Anasema lengo la kuutoa wimbo huo ni kuwapa watu ENERGY new hope in life.

1 comment:

Anonymous said...

Tunasubiri dudu ujio mpya,,maana game xa hv liko tight