22.11.13

Wednesday, July 24, 2013

(Video) H-BABA AWAFUNGUKIA WALE WASANII WANAOFUTURISHA KWA AJILI YA SIFA, ASEMA KWA ALLAH HAKUNA SIFA

Source: Harakati za Bongo

10 comments:

Anonymous said...

ovyoooo wewe ndo unanona sifa ila kwa mungu ndo alivyoagiza,lkama wewe unajiweza mpe mwenzako asiyejiweza sasa hizo ni sifa?toa upumbav wako au kwa sababu diamond anafuturisha kila siku huna jipya.......?

Anonymous said...

kasema kweli bwana,ila wabongo ukweli kwenu sumu.sifa zimewajaa ndiyo maana huwa hamfiki mbali kisanii.wape vipande vyao h baba

Anonymous said...

Umenifurahishaje,,,bora wenzie wanafuturisha yy amefanya nini kwa jamii.Aseme tu amefulia

Anonymous said...

Hana mpya,,roho inamuuma hana lolote

Sieeds Sayd said...

ebwana sote tunajua nani anasemwa hapa (diamond) lkn mm nina kitu kimoja tu cha kusema ..Allah kaamrisha watu wafanye mema kuyakubali au kukataa ni juu yake .. huyu anachanganya chuki na dini.. haifai kijana kama unataka waftarishe msikitini basi anza ww kuwa mfano ..Im out

Sieeds Sayd said...

sote tunajua nani anasemwa hapa (diamond) lkn mm nina jambo moja nataka kusema .. Allah (S.W) kaamrisha kufanya mema kukubali ama kutokaubali mema hayo ni juu yake ..sisi binadamu hatuna mamlaka ya kujudge ibada anayofanya mja mwengine .. kama ww unataka waftarishe msikitini basi anza ww kuwa mfano ..usichanganye chuki na dini .. Grown up dont just grow old buddy .. im out ..
Saikom (Canada, Toronto)

Anonymous said...

we H baba ni mjinga sjapata kuona kwanza ww unabifu na Diamond kitambo humpend mchizi anaependwa na watu humuwez umeona huna jipya la kusema umeamua na ww uwekwe kwenye gazet faya yako bana. hapo angefanya mwingine usingeropoka hilo domo lako chafu fanya yako( kwanza ulianza jamaa eti anakodisha watu kwenye msiba mara amekuibia nyimbo yako mara tena kufturisha watu anafanya sifa we sepa zako bana huna jipya)in short humuwezi mchizi bwana mdogo lakin balaa lake sio dogo. fanya yako H baba ndo maana wabongo hatuendelei

Anonymous said...

we H baba ni chizi sijawi kuona tangu nizaliwe lakin kwa nn wabongo tunakuwa na chuki za kijinga jaman behave urself u f**k bitch H BABA

Anonymous said...

Umeoooonaaaeeeh hana lolote h baba anapepesa macho tu

Anonymous said...

Koh koh koh koh hatariii kweli kweli,,,aliyoyataka ameyapata