22.11.13

Tuesday, July 23, 2013

(News) Haya ndio mashari aliyoandika NAY WA MITEGO kwenda kwa RIZ ONE

Naongea na Riz one hey Riz One, we si mtoto wa raisi Riz one. Mwambie dingi yako Masela hawamuelewi wamakonde wa Mtwara hawataki tena Korosho, wanaitaka ges si mtawaua na mkong'oto?! Nani lafiki wa Lowasa anifikishie salam 2015 nataka agombee uraisi nitamfanyia kampeni wananchi wampe nafasi, 
ts 966.# Salam zao# 
my new track coming soon.!!

No comments: