Thanks GOD, Thanks ALL wadau na mashabiki wa #DJCHOKAblog kwa kutembelea blog mpaka leo hii tunafikisha views mil 8. Sina cha kuwalipa zaidi ya neno NASHUKURU kwa yote, hawa ndio washindi waliobahatika kuiona namba hii 8000000 na wakanitumia email fasta. Mmoja anaitwa SAIDY SOBO email yake ni saidsobo@yahoo.com, GODFREY PATRICK email yake ni godfrey.mbilinyi@yahoo.com
5 comments:
Pamoa sana DJ Choka....wee ni noma sana unajituma kutupa habari kwa sisi wa nje tunajiona kama tupo nyumbani
tishaa
KAZA BUTI MDOGO WANGU UTAFIKA TU
TUNAIPENDA BLOG YETU
SaLuTe Dj chOka uPo pOa fanYa yakO ww ndiO kaMa muAnziLishi wa sTorY za kiburuDaaNi Tz jaPo sOmeTime uNapoTeza diRecTioN ...
Dj Rogiekiss
Post a Comment