22.11.13

Monday, July 29, 2013

(News) MOXIE ATOA USAFIRI WA BURE KWA WAKAZI WA DSM.

Msanii anayewakilisha kundi la WATEULE anajulikana kwa jina la MCHIZI MOXIE majira ya jana mchana aliamua kukodi gari la abiria kwa muda wa masaa manne na kuanza kuwasafirisha abiria bure. Safari hiyo ilianzia maeneo yaliyokuwa na tatizo la usafiri na safari ilianzia Kimara Mbezi kutokea Ubungo na safari nyingine ilitokea Mwenge kuelekea Ubungo.

 Bus ndio hili kampuni ya UDA likiwa linaendelea na shughuli yakukusanya abiria

4 comments:

Anonymous said...

hongera sana..mixie..MUNGU akuzidishie

Anonymous said...

vizuri sana Moxie

Anonymous said...

kazi nzuri...

Anonymous said...

moja ya baraka hizi ndugu yangu