22.11.13

Sunday, July 28, 2013

(News) Wezi wamliza T.I.D Power Window za kwenye gari lake usiku wa kuamkia leo

 Mtu huyu aliyeniibia mimi T.I.D power window na vitu vingine kwenye gari yangu usiku wa kuamkia leo nyumbani kwangu, ntakuwa namjua tu, natoa laki mbili kwa mtu atakeyentajia huyu mwizi ..0652291804 nipigie

 

8 comments:

Anonymous said...

POLE SANA... NAONA WAMEMUIBIA MWIZI HAHAA

Anonymous said...

DUh... hivi bado haya mambo yapo tanzania

Anonymous said...

watakuwa wanakujua tu hao

Anonymous said...

Pole tid

Unknown said...

wanadhiki kaka achana nao.

Unknown said...

wanadhiki hao achana nao.!

Anonymous said...

hhhhhh TID ndo ukome ulivyo koma kuweka vitu ndani ya gari hhhh pole saaaana

Unknown said...

ahhhhghh laki mbili helaaa weeee mwambaaa toa milion tanoo lkn sii laki mbili