(News) Wezi wamliza T.I.D Power Window za kwenye gari lake usiku wa kuamkia leo
Mtu
huyu aliyeniibia mimi T.I.D power window na vitu vingine kwenye gari
yangu usiku wa kuamkia leo nyumbani kwangu, ntakuwa namjua tu, natoa
laki mbili kwa mtu atakeyentajia huyu mwizi ..0652291804 nipigie
8 comments:
POLE SANA... NAONA WAMEMUIBIA MWIZI HAHAA
DUh... hivi bado haya mambo yapo tanzania
watakuwa wanakujua tu hao
Pole tid
wanadhiki kaka achana nao.
wanadhiki hao achana nao.!
hhhhhh TID ndo ukome ulivyo koma kuweka vitu ndani ya gari hhhh pole saaaana
ahhhhghh laki mbili helaaa weeee mwambaaa toa milion tanoo lkn sii laki mbili
Post a Comment