22.11.13

Wednesday, July 17, 2013

(Photo's) Hii ndio ilikuwa futari ya kwa JAY MOE kwa leo

Leo jioni nilipata mwaliko wa kwenda kufuturu kwa msanii wa hip hop nchini anajulikana kwa jina la JAY MOE maeneo yake ya Sinza Lion. Nikaona sina budi kuwaonjesha japo kidogo kwa picha, aliawaalika washkaji kibao wakiwemo wasanii wenzake kutoka Wateule.


 Jay Moe akiwashughulikia wageni aliowaalika..

 Jaffaray

No comments: