22.11.13

Monday, July 29, 2013

(Photo's) The making of music video TONITE by Afro Maniac

 Moja kati wa wasanii wa hiphop nchini, Afro Maniac ameahidi kuachia video yake mpya hivi karibuni ambayo ameifanya Nairobi Kenya chini ya director bosco.track hio inayokwenda kwa jina la Tonite iliofanywa chini ya producer Mbezi ambae pia ni meneja wake,inatarajiwa kua moja kati ya video kali East Africa kutokana naumahiri na gharama zilizotumika kuiandaa video hiyo.Afro Maniac ndie pia aliimba jinsi navyoroll ambayo ilikua ni track yake ya mwisho na kamikaze,ilifanya vizuri sana.
Chini ni baadhi ya picha za video hio ya To9t zikionyesha yaliojiri kule ... 


No comments: