22.11.13

Wednesday, July 03, 2013

(Photo's) UZURI WAKO by JUX Video coming soon

 Msanii wa Bongo fleva anajulikana kwa jina la JUX ambaye kwa sasa makazi yake yapo Chini, ameongea na DJCHOKAblog na kusema kwa sasa ameshamaliza kushoot video yake mpya inayokwenda kwa jina la UZURI WAKO. Jux amesema video hiyo ameifanyia pande hizo hizo za China sehemu moja inaitwa MACAU, pia baada ya kuonyesha picha za utengenezaji wa video hiyo aisee nilivutiwa sana na Model ambaye amecheza kwenye kideo hicho, picha zaidi nitaziweka soon ngoja niziedit kwanza kwa maana mmmh

2 comments:

Anonymous said...

Ahahhaah chezea china wewe.

Anonymous said...

saaaf