22.11.13

Friday, August 09, 2013

(Audio) Richie101 ft Jordan - Pop Champagne

Msanii Richie101 toka Arusha akimshirikisha Jordan toka Grandmaster,Ngoma inaitwa Pop Champagne ilorekodiwa Noizmekah Studios chini ya DefXtro juu ya beat ya Moscow wa New Way Music,Pata kuusikiliza/Kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Richie101 kupitia simu nambari +255 758 463 818 au +255 766 513 202 kwa mahojiano pia, endelea kusupport muziki wa Tanzania, powered by www.vmgafrica.com

No comments: