Yalikuwa ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani. Hemedy ameumia kwenye paja na kifuani ambapo staring ilimbana, kwa sasa bado yuko hosp anaendelea na matibabu.
6 comments:
PHD,Mungu akucmame akupe afya njema.
PHD,Mungu akucmame akupe afya njema.
PHD,Pole kaka kwa majanga yaliyokupata.
Pole sana Phd mungu akuepushe na mabalaa
pole zake ayse!!!!
pole sana, ila pamoja na pompaz(MASIFA) zote mzee unasukuma funcargo...upone haraka
Post a Comment