22.11.13

Saturday, August 03, 2013

(New Audio) Umbwa Chindo - KingKola

Umbwa aka Chindo toka Watengwa Kijenge Juu anadrop na goma Jipya "KingKola" ikiwa ni Bonge la Joint lenye mkasa wa kusisimua, special wa fans wote wa Hip Ho worldwide

3 comments:

balozi said...

hakuna msanii nnayemkubali kama chindo man, umbwa mzee a.k.a nyang'au..... ni rap ya ngumu hadi burudani.... one love Lutuno

Anonymous said...

Kiukweli we mtuu laana akuna anae weza simamisha old xul hip hop bongo

paulo kiwango said...

Kutokana na tracks zake nilizoziskia,nami nasema hakuna hip hop iliyosimama kama ya UMBWA MZEE AKA CHINDO MAN,mtaalam wa kuunda matukio yaliyopita kutumia ujuzi wake kwenye mziki hakuna kama yeye kwa sasa labda aje kutokea yeye ni "NGUMU NYEUSI"