Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto)
anashuhudia wakati Bi. Rukia Ali, mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam anatia
saini mkataba wa kupoea mpoko usio na riba ili kuendeleza biashara
yake. Bi. Rukia Ali ni mmoja kati ya wamawake wajasiliamali 320
waliopokea jumla ya shillingi million ishirini kutoka Vodacom Tanzania
kupitia mradi wake wa MWEI.
Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto),
akimuelekeza jambo Bi. Rehema Sraji, mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam
kabla ya kumpa mpoko usio na riba ili kuendeleza biashara yake. Bi.
Rehema ni mmoja kati ya wamawake wajasiliamali 320 waliopokea jumla ya
shillingi million ishirini kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa
MWEI.
Bi. Rehema Sraji (kulia) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam, anatabasamu
huku akihesabu kitita cha mpoko usio na riba aliyeupokea kutoka kampuni
ya Vodacom Tanzania. Bi. Rehema ni mmoja kati ya wamawake wajasiliamali
320 waliopokea jumla ya shillingi million ishirini kutoka Vodacom
Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI. Anyeshuhudia kushoto ni Bi. Rukia
Mtingwa, Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment