22.11.13

Monday, August 26, 2013

(Photo's) Yalitojiri CLUB BILICANAS usiku wa kuamkia leo.

 CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu usiku wa kuamkia leo alifanya uzinduzi wa nyimbo za wasanii wake Mirror na Asali kwenye ukumbi wa Bilicanas jijini Dar es Salaam.

Uzinduzi huo wa nyimbo mbili mpya Baby ya Mirror na Mzuri ya Asali walisindikizwa na wasanii wakali wazuri wakiwemo,Linex,Nyandu Tozi,Country Boy,M 2 The P,Barnaba na wengine kibao.

 Mirror

 Nyandu Toz kwa steji


 Janjaro

 H.Baba

 Mirror

 T.I.D

 Sam Machozi

Barnaba

Picha kwa hisani ya TIMES FM

No comments: