Swahili Radio inapatikana Duniani kote kutokea katika mtandao, katika Kompyuta aina zote, katika simu za mkononi za iOS - iphone,ipad,ipod, Android Samsung, LG, Pia katika Blackberry,Tablet aina zote. Ni rahisi kabisa kutupat.coma ingia katika blog yetu www.swahilitv.blogspot.com
MAELEZO JINSI YA KUTUPATA KWENYE SIMU ZA MIKONONI
1. Download Tunein (Tunein ni neno moja usiache nafasi) Tunein Radio app kwa simu yako mfano; iphone, ipad,ipod,android au Blackberry
2. Baada ya ku-download , open app na nenda kwenye browser na andika neno swahili radio kisha search.
3. Ukiona logo yetu ya swahili radio bofya na sikiliza.
TUNAPATIKANA HEWANI MASAA 24 TUKIWATANGAZIA KUTOKA JIJINI WASHINGTON D.C. TUKIWA KATIKA MAJARIBIO
No comments:
Post a Comment