22.11.13

Wednesday, September 25, 2013

(Audio) BadSpenderz ft Freddie FidoVato Bounako D Maujanja Moplus - Wataelewa tu

Hip-Hop Collabo toka kwa BadSpenderz waloipa jina "Wataelewa tu" wakiwakilisha Arusha na hapa wameshirikishwa wasanii kibao akiwemo Freddie FidoVato Bounako D Maujanja na Moplus, wimbo umetayarishiwa studio za Noizmekah chini ya producer Defxtro, Download HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Badspenderz kupitia
 
+255 759 737 673 au +255 764 614 388 powered by www.vmgafrica.com

No comments: