Kama kawa wadau wangu Ahadi Yetu palepale! kila tarehe 15 ya kila mwezi nakupa ngoma moja mpya na mwezi huu nimeshakuandalia kitu kizuri hivyo ifikapo tarehe hiyo mwezi huu tutakutana tena mtandaoni kwa mara ya pili baada ya ile 'nikikuonaga' iliyotufungulia utaratibu wetu na maoni yako ni dira kwangu, tarehe 15 hiyoo! inakuja  STAY TUNED  . . . BOB HAISA