Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa offer ya
miito ya simu jijini Dar es Salaam. Kupitio ofa hio, wateja wanaweza kuchukua
wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh50,000
kwa siku. Kushoto ni msanii wa muziki ya kizazi kipya, Diamond Platinumz na
kulia ni Meneja wa Mahusiano ya Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim.
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akizungumza na waandishi
wa habari wakati wa uzinduzi wa offer ya miito ya simu jijini Dar es Salaam. Kupitia
ofa hio, wateja wanaweza kuchukua wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone
(RBT) na wajishindie Tsh50,000 kwa siku. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko
na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) na kulia ni Salum
Mwalim, Mejena wa Mahusiano ya Nje, Vodacom Tanzania.
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa
Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, punde
baada ya kusaini mkataba utakaowezesha wateja kuchukua wimbo wa Diamond Platinumz
kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh50,000 kwa siku. Anayeshuhudia ni
Salum Mwalim , Mejena wa Mahusiano ya Nje, Vodacom Tanzania.
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (mwenye fulana nyekundu) akiucheza
wimbo wake mpya ujuikanao kama My Number One, wakati wa uzinduzi wa mkataba utakaowezesha
wateja kuchukua wimbo huo kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh50,000
kwa siku. Mkataba huo ni baina ya Diamond Platinumz na Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment