22.11.13

Sunday, September 01, 2013

Jambo Squad - Machungwa KIONJO-SNIPPET

Jambo squad warejea tena baada ya Tukunyema, pande za Noizmekah kurecord dude jipya kwa jina "Machungwa" ,Tempo zile zile za kulimia Hela na manjeree kuruka kopo hadi pakuche dwas!!!pata kionjo HAPA powered by www.vmgafrica.com

No comments: