22.11.13

Friday, September 20, 2013

Naitambulisha kwenu studio hii mpya kabisa inaitwa JC-RECORDS.

 
JC-RECORDS ni studio ya kurekodi na kuandaa mziki, pamoja na shughuli mbalimbali za kitaalamu za nyenzo sauti.
Kazi zetu zinabeba ubora wa kipekee na tumejikita katika kufanya kazi nzuri na kuweka kiwango kipya katika shughuli zote, hususani kuandaa na kurekodi kazi zote za kitaalamu za mziki na zinazohusu nyenzo sauti.
Tuna mpangilio rafiki wa kazi pamoja na mazingira mazuri ya kufanyia kazi na yenye utulivu.
Tuko Tabata njia Majumbasita/Kinyerezi, Mkabala na Bragaza Village Company/Mid Way Secondary.
Tupigie simu: 0712/0713 266865, 0789 333646 na 0784 670 341.
Twitter: @RecordsJc

5 comments:

Anonymous said...

This is awesome stuff big up to JC Records

Anonymous said...

Well done mr n mrs magulya

Anonymous said...

this is great.

Anonymous said...

Hoping for the good music... Big up Jc-records

omary mhina said...

Hot thing in Town has landed......