22.11.13

Tuesday, September 03, 2013

(News) DAYNA NYANGE: 'Diamond Kaniibia Wimbo Wangu Nilikuwa Nimshirikishe' #MyNumberOne

Kufuatia kutoka kwa hit ambayo inapewa sapoti na video ya mapesa mengi, My Number One ya Diamond Platnumz, Mambo yameanza kuwa mambo baada ya msanii Dyna Nyange kuibuka na kudai kuwa mdundo wa ngoma hii ulikuwa ni wa kwake na ulikuwa ni kwaajili ya wimbo ambao ulikuwa aufanye akiwa amemshirikisha msanii huyo.

HABARI KAMILI INGIA HAPA

3 comments:

Anonymous said...

Wala si shangai kwani DOMO ndio zake hizo.

Salumu Mfaume said...

Dayna unatafuta tu umaharufu wewe toka mwaka jana mwezi wa ramadhani mpaka mwaka huu ujatoa nyimbo mtoto katoa unadai kaiba beats kwani mashairi yako kuimba ujui dada yangu tulia tu

Anonymous said...

usimualibie dogo wa watu bhana kama beat kamdai producer wako