22.11.13

Tuesday, September 03, 2013

(Video) Kala Jeremiah, Roma, Fid Q na Izzo Bizness Wanapoijadili Siasa

Ni mara chache kujua wasanii wana msimamo gani linapokuja suala la muziki na siasa. Wakiwa Kigoma katika Kili Music Tour, wakali wa Hip Hop Kala Jeremiah, Roma, Fid Q na Izzo Bizness walipata nafasi ya kujadili wanavyoichukulia siasa na muziki wa Hip Hop hasa tofauti ya mwanaharakati na mwanasiasa.

1 comment:

Justice Tengia said...

mbna cioni io video xaxa