22.11.13

Tuesday, September 24, 2013

(News) OCTOPIZZO msanii kutoka Nairobi kupiga collabo na FALLY IPUPA

Octopizzo msanii wa Hip Hop ambaye makazi yake yapo Nairobi ametoa picha kwenye account yake ya Instagram akiwa na msanii Fally Ipupa kuwa wako kwenye project moja na watu wakae tayari kwa wimbo utakaotoka.
Namnukuu
"Doing a project with @fallyipupa01 na tunaendelea #IVOIVOIVO #ItsNambaNaneBaibY #SwagHili @safaricomltd @ghaflakenya #comingSoon"

No comments: