22.11.13

Monday, September 23, 2013

(News) Rapper PREZZO atafutwa na Polisi Nchini Kenya

Rapper kutoka Kenya ameingia matatani baada ya kumpiga Afisa kutoka Switzerland kwa kutumia kitako cha Bastola yake ndani ya night club Westlands, Nairobi. Afisa huyo ametoa taarifa hizo kwenye kituo cha polisi cha Pangani jijini Nairobi, nakusema kuwa rapper huyo alimpiga na kitako cha Bastola yake katika parking ya magari na kisha kumtishia maisha kwa silaha hio huku akiwa anavuja damu. Sasa Rapper huyo ameingia utatani kwa kuwa anatafutwa na polisi kutokana na ugomvi huo uliotokea ndani ya night club hio.
 
Source: GongaMx

No comments: