Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto)
akiwaelezea jambo wakina mama wajasiriamali wakazi wa Kimara, jijini Dar
es waliofika katika Ofisi ya Serikali ya mtaa Michungwani
Kimara,kuchukua mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Vodacom
Foundation kupitia mradi wake wa MWEI zaidi ya wanawake mia
moja(100)walinufaika na mikopo hiyo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na
nane kupitia mradi huo.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania(katikati)akitoa muongozo kwa Wakina mama
wajasiriamali wadogowadogo wakazi wa Kimara jijini Dar es
Salam,waliofika katika Ofisa ya Serikali ya mtaa Michungwani
Kimara,kuchukua mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Vodacom
Foundation kupitia mradi wake wa MWEI zaidi ya wanawake mia
moja(100)walinufaika na mikopo hiyo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na
nane kupitia mradi huo.
Baadhi ya Wakina mama wajasiriamali wadogowadogo wakazi wa Kimara jijini
Dar es Salam,waliofika katika Ofisa ya Serikali ya mtaa Michungwani
Kimara,waklisubiria kupatiwa mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na
Vodacom Foundation kupitia mradi wake wa MWEI zaidi ya wanawake mia
moja(100)walinufaika na mikopo hiyo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na
nane kupitia mradi huo.
No comments:
Post a Comment