22.11.13

Thursday, September 05, 2013

(Audio) Wakazi ft. EL - Girl You Gon Kill Me

Huu ni wimbo mpya wa Wakazi, ambao ameutengeneza special for the Azonto show. Original wimbo uliimbwa na Sarkodie & EL kutoka Ghana. Wakazi amepita ki Hip Hop zaidi kwenye beat hii ya AZonto

Wakazi anatarajia kuachia EP yake ya ABACUS hivi karibuni, na pia Video ya wimbo wake wa TOUCH ambao unafanya vizuri sana Redioni ndani na nje ya nchi.

No comments: