22.11.13

Friday, September 06, 2013

(Photo's) Angali steji hii atakayopanda msanii FUSE ODG kesho

 Hii ndio steji ambayo kesho itatawaliwa na wasanii wengi kutoka Bongo pamoja na msanii FUSE ODG mwenye makazi yake kule Marekani. Wakati naitembelea leo jioni ndio ilikuwa inamaliziwa maliziwa matengenezo ya mwisho.No comments: