22.11.13

Friday, September 06, 2013

SWAHILI INTERNATIONAL HIPHOP EXHIBITION 2013.

DAZ NALEDGE WA S.U.A KWENYE USUKANI. NJOO TUJIFUNZE KWENYE STAGE NA MIC. NI PALE ALLIANCE FRANCAISE KUANZIA TAREHE 13, 14 NA 15. HAINA KUBAGUA, HAINA KIINGILIO. WOTE MNAKARIBISHWA. kwa mawasiliano: 0712-828494


 KWA MABREKA NA KWA YEYOTE ANAYEPENDA KUJIFUNZA HIPHOP DANCING, WORKSHOP HII SI YA KUKOSA. ITAFANYIKA TAREHE 14 SEPTEMBER PALE SLIPWAY CINEMA STUDIO, OYSTERBAY, KUANZIA SAA 3 ASUBUHI MPAKA SITA MCHANA. HAINA KUBAGUA, HAINA KIINGILIO. WANAUME KWA WANAWAKE, WOTE MNAKARIBISHWA.
kwa mawasiliano: 0712-828494

No comments: