22.11.13

Sunday, September 08, 2013

(Photo's) MWILI WA MWANAMKE ALIEUWAWA KIUKATILI KAWE JIJINI WASAFIRISHWA KWA MAZISHI MKOANI DODOMA

 Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi yatakayofanyika kijiji cha Nzasa  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

 Baadhi ya wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi wakitoa heshima za mwisho 

 Wakinamama wakilia kwa uchungu

 Mtoto wa Marehemu Baraka Simon(12)akimuaga mama yake mzazi kabla ya safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi kuanza aliemshikilia ni mama yake mkubwa Lucy Ngorido.

Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Yusta Mkali likifunikwa na kupandishwa kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi yatakayofanyika hapo kesho.
 
 Mtuhumiwa Musa Senkando ambaye bado anatafutwa na Polisi kwa mahojiano wananchi tunaomba msaada wenu kwani huyu mtu ni hatari sana katika jamii yetu.

2 comments:

Anonymous said...

Rest in peace mdada.

Anonymous said...

asee,,kuonyesha picha ya marehemu,,unethical mjomba,,,asee hebu tafuta picha yeyote ya mzungu,,aliyekufa kama utaona,,,news nzauri lakini inakuwa kama vile kuweka picha hivi,,watz tuko nyuma,,,,CHOKA EEE,,,SIO ISHU