Kwa mara ya kwanza katika historia ya mji wa Kahama na vitongoji vyake,
wakazi wake walipata nafasi ya kuwashuhudia wakali wa muziki zaidi ya 10
katika jukwaa moja katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013
lililofanyika katika uwanja wa taiga Kahama na kushuhudiwa na maelfu ya
wakazi wa rika zote waliojitokeza na kuujaza uwanja wote. Wakali hao
Linex, Profesa Jay, Roma, Ben Pol, Fid. Q, Lady Jaydee, Izzo Bizness,
Barnaba na Recho walilishambulia jukwaa kwa masaa sita mfululizo huku
wakati mmoja wakipata nafasi ya kumuimbia Ben Pol wimbo wa Birthday
kutokana na kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa usiku wa kuamkia Jumapili.
Linex
Shabiki mmoja alipata nafasi ya kucheza na Recho
Kutoka backstage: Izzo Bizness, Alice, Fid Q, Kala Jeremiah na Ben Pol
Ben Pol na Alice wakiimba wimbo wao mpya wa Waubani
Barnaba Boy jukwaani
Izzo Bishara, Izzo Bizness akiiwakilisha Mbeya mjini Kahama
Izzo Bizness na Barnaba wakishambulia jukwaa kwa pamoja
Baada ya kushuka jukwaani mashabiki hawakutaka kupoteza nafasi ya kupiga nae picha.
Kala Jeremiah akiwauliza mashabiki kama wameilewa Kikwetu kwetu
Jibu la mashabiki lilikuwa ni hili
Roma Mkatoliki akiwarusha mashabiki waliofurika uwanja wa taifa Kahama
Lady Jaydee na Profesa Jay wakiimba Joto Hasira
Profesa Jay akiifunga Kili Music Tour Kahama
Mashabiki wakinyoosha mikono juu kuwashukuru wakali wa muziki waliopanda jukwaani
4 comments:
FIESTA IMEKARISHWAAAAAAAAAA
god ide
show safi god idea
good idea swafi
Post a Comment