22.11.13

Tuesday, October 01, 2013

ARMY NANDO'S PARTY TOUR

Mshiriki Wa BBA The Chase 2013 Kutoka Tanzania Ammy Nando amewaandalia mashabiki wake Tour Ya Party ijulikanayo kama NANDO’S PARTY TOUR, ambayo Itafanyika siku ya Tarehe 5 October katika ukumbi wa Club Billcanas Dar-Es-Salaam kwa kiingilio cha Elfu Kumi (10,000)

1 comment: