22.11.13

Wednesday, October 09, 2013

(New Audio) Gosby ft. Vanessa Mdee & Jux - MONIFERE

 Huu ni ujio mwingine mpya kutoka kwa GOSBY aka Swaghili msanii anayetoka kwenye lebo yenye vichwa vikali pale BHITS MUSIC GROUP. Gosby hapa amekuja na wimbo wake alioupa jina la MONIFERE akiwa na maana ya NAKUPENDA na ndani ya songi hili amewashirikisha wasanii wenzake kama Vanessa Mdee pamoja na Jux. Wimbo huu umetengenezwa na kusimamiwa na maproducer watatu, mmoja anaitwa Randy yeye makazi yake ni Nairobi ndio aliyesuka beat hili, mastering ni Hermy B na aliyesimamia mavoco pamoja na vikolombwezo vingine ni Pancho Latino... Enjoy

4 comments:

Anonymous said...

wat a unique collabo.. great song!!

Anonymous said...

great collable.. great song!!

Anonymous said...

Lavly.nice one v

athumankeifa said...

boooooonge la ngoma...ila kchupa ndo tatizo letu wabongo,keep it up bro./jibane utoe kchupa kikal