22.11.13

Friday, October 04, 2013

Hakuna Wasichoweza LIVE chat

Ungana na Bwana Samjet, Balozi wa “Hakuna Wasichoweza”. Leo kuanzia Saa Nane Mchana hadi Tisa kamili Bwana Samjet ataongelea kwa undani zaidi mradi huu wenye lengo kuu la kuboresha kiwango cha elimu ya mtoto wa kike.” Pata nafasi ya kufahamu mambo yote kuhusu mradi huu kwa kubofya hapa: http://ow.ly/msRhc

No comments: