Licha ya kuwa na kipawa cha utangazaji,
Mike ni rnb artist mwenye uwezo wa pekee katika utunzi wa mashairi ya kuimba.
Video hii inaonyesha jinsi ilivyokua wakati wa kurecord audio ya Likizo na Joh makini,
namna tulivyo fahamiana na hadi kazi ilipofanyika.
itakayotoka Tar 1, nov 2013 , kazi imefanywa na Tibe Chords (NAD CLASSIC) na kufanyiwa
Mastering na Lucci (Transfomax Studio's)
Occupation: Arts and Journalism
Skills: Artist/Song writer/composer/Editor/Broadcaster
Maoni: myconfessiontz@gmail.com
No comments:
Post a Comment