1.
Shilingi milioni 100 zimetolewa kwa Simba na
Yanga, kila timu imepewa milioni 50.
2.
Mashabiki wanatakiwa kununua Kilimanjaro Premium
Lager na kutuma namba zilizo chini ya kizibo kwenda 154440.
3.
Shilingi 1,000 itahamaishwa toka kwa timu
pinzani kwenda kwa timu ya shabiki baada ya kupiga kura
4.
SMS inagharimu kiasi cha kawaida cha mtandao,
hakuna makato ya ziada.
5.
Matokeo ya yanaweza kuangaliwa katika website
ya: http://kilitime.co.tz/campaigns/nmj/
6.
Kila wiki shilingi milioni 2 zinatolewa kwa
mashabiki wanaopiga kura kwa wingi.
7.
Hashtag
zinaotumika: #NaniMtaniJembe #MtaniJembeYanga #MtaniJembeSimba
No comments:
Post a Comment