22.11.13

Sunday, October 13, 2013

(News) Tanzania yaianza vibaya Tusker Project Fame 6, wawakilishi wake wawili wayaaga mashindano

Tanzania imepata pigo katika shindano la kuimba la ‘Tusker Project Fame msimu wa 6’ baada ya washiriki wake wawili Dubson na Tanah kuyaaga mashindano hayo leo.
Fagio lililowaondoa Dubson na Tanah limempitia pia mshiriki wa Rwanda, Peace hivyo wote wameimaliza safari yao katika mashindano hayo.
Tanzania ilikua ikiwakilishwa na washiriki wanne, lakini sasa imebakiza washiriki wawili ambao Angella Karashani a.k.a Angel na Hisia.

No comments: