22.11.13

Monday, October 07, 2013

(Photo's) Yaliyojiri kwenye birthday party ya HELLEN KAZIMOTO, ROSE NDAUKA, KING KAPITA & TANISA ndani ya NEW MAISHA CLUB

 Pichani ni mwanadada Hellen Kazimoto ambaye alikuwa anaianza sherehe yake ya kuzaliwa baada ya kufika saa 6 usiku na kuingia tarehe 7.  Maisha Club sehemu ya VIP ndiko kulipokuwa kunaendelea bata hilo hukua akiwa na marafiki zake ambao nao walikuwa wanakumbuka siku yao yakuzaliwa. Watu hao ni pamoja na msanii wa Bongo fleva anajulikana kwa jina la KING KAPITA pia Bongo Movie Queen namzungumzia ROSE NDAUKA na mwanadada mwingine anaitwa TANISA


 Pichani ni Rose Ndauka akiwa na rafiki zake
 Kulia ni mume wa Rose Ndauka pamoja na Rose mwenyewe wakiunda kundi jipya la TNG Squad
 Rose Ndauka na Kajala
 Rose Ndauka na Robby One
 Tanika, Hellen Kazimoto, Rose Ndauka na King Kapita wakiwa wameloa tepe tepe kwa kuogeshwa na marafiki waliofika kwenye party hiyo

No comments: