22.11.13

Thursday, October 03, 2013

SNURA WA MAJANGA KUWASHA MOTO MTO WA MBU NA MERERANI ARUSHA WEEKEND HII

MWANADADA SNURA anayetamba kwa Vibao vyake viwili MAJANGA na NIMEVURUGWA anawaletea viuno vya kimajanga Wakazi wa Mto wa Mbu na Mererani Arusha ambapo tarehe 5 October Ni usiku wa Majanga Mto wa Mbu UKUMBI WA DOLPHIN na tarehe 6 October Majanga yanavurugwa Mererani UKUMBI WA MNYALU PUB kwa kiingilio cha sh. 5,000/ kwa kila show huku akipewa Shavu na Kijana wa Party People na Chafukwa na Roho Yung Omega.
UKIKOSA UNACHEKWA SANAAAAAA....

No comments: