22.11.13

Sunday, November 17, 2013

Lady Jay Dee, Prof Jay kupafomu na P-SQUARE

Yaani zile JOTO HASIRA zikikutana na ALINGO lazima PERSONALLY utasema CHOP MY MONEY hadi YAHAYA apatikane maana tupo KAMILI GADO!!!

Wale wakali wa muziki hapa Bongo toka enzi hizo, mwanadada Lady Jay Dee (ANACONDA) na Professor Jay watapafomu jukwaa moja na P- SQUARE siku ya Novemba 23 pale Leaders Club.

Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa habari zaidi pia kumbuka Zimebaki siku 2 tu za kununua tiketi yako kwa M-PESA kwa elfu 30!!

No comments: