22.11.13

Tuesday, November 12, 2013

(News) BASI NJOO KARIAKOO ndio jiwe jipya analokuja nalo MKONGWE

BASI NJOO KARIAKOO ndio ujio mpya anaokuja nao msanii ABBY SKILLS aka MKONGWE kutoka Kariakoo Gerezani. Mkongwe huyu safari hii ameamua kuwashirikisha wasanii wenzake kutoka wilaya ya Ilala hapa yupo Ally Kiba pamoja na Shetta. Abby anasema mashabiki wake wamemsubiri kwa muda sasa kwahiyo wakae mkao wakua wiki hii wimbo huu utakuwa hewani na ni wimbo wenye ujumbe na historia ya kweli huku akiwa chini ya lebo yake mpya inayoitwa WAKUBWA CLASSIC ENTERTAINMENT (WCE) ikiwa chini ya rais wao anayeitwa Himid Zowange aka Igwe (Tajiri Mtoto)

No comments: