22.11.13

Tuesday, November 12, 2013

(News) WALE WALE ndio ngoma mpya anayokuja nayo KALA JEREMIAH akiwa na NAY LEE

Tarehe 20 mwezi huu msanii wa hip hop nchini ambaye anasikilia tuzo 3 kutoka Kili Music Award anatarajia kuja na wimbo mwingine mkali huku akiwa amemshirikisha mwanadada Nay Lee msanii anayewakilisha mkoa wa Mbeya vizuri tu kwenye maswala ya uwimbaji.

No comments: